Category: NEWS

22489839_1282501755189466_1336672056655737214_n
All Posts, Featured, NEWS,

SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Linda Bezuidenhout (Part 1)

Baada ya The Mboni Show kutinga nchini Marekani tulifanikiwa kukutana na Mtanzania tunaye mtambua ambaye anaishi nchini humo. Linda Bezuidenhout ni dada wa Kitanzania ambaye ni mbunifu wa mavazi yaani…

wema
All Posts, Featured, NEWS, Shows, Video Clips,

SHOW: Wema Sepetu amsaidia kutunga wimbo Diamond Platnumz!

Kila kwenye Mafanikio ya mtu huwa lazima kunakuwa na historia yake na mapito ambayo kapitia. Leo Tunakurudisha nyumba kidogo Throwback The Mboni Show with Diamond Platnumz. Msanii wa Muziki wa…

ee
All Posts, Featured, LIFE and SOCIETY, NEWS,

USIKOSE KUTAZAMA THE MBONI SHOW IJUMAA 21/JULY/ 2017

Ijumaa hii katika @thembonishow tutakuwa na Promoter @dmkglobal @dmkglobal, Dmk ni Kijana wa Kitanzania lakini makazi yake ni Nchini Marekani, Ndio Promoter wa kwanza kabisa kumpeleka Mr Nice Marekani?? Utapata…

img-20170104-wa0071
All Posts, Mboni in Events, NEWS,

Mboni Masimba kwenye Mapumziko ya mwaka mpya Ngorongoro

Ilikuwa siku yenye furaha kwa Mkurugenzi wa The Mboni Show Mboni Masimba mara baada ya kupata mualiko maalum wa kwenda kutembelea “Ngorongoro Crater”  yalikuwa ni mapumziko mazuri kabisa ya kuuaga…

2
All Posts, Featured, Mboni in Events, NEWS,

MBONI KUZUNGUMZIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE. 102.5 LAKE FM MWANZA

Mtangazaji wa Kipindi cha “The Mboni Show” kinachoruka kupitia runinga ya TBC1, Mboni Masimba (kushoto) akizungumza na Caroline Mwaipungu ambaye ni Mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza kuhusu Kongamano la…

Ijumaa Mkuu wa Wilaya
All Posts, Featured, NEWS, Shows,

DON’T MISS ‘THE MBONI SHOW’ WITH MKUU WA WILAYA YA KINONDONI!

Kama ilivyo kawaida tunaendelea kukuletea raha na mambo mazuri kutoka The Mboni Talk Show kipindi ambacho huruka hewani kila Ijumaa pale TBC1 kuanzia mida ya saa Tatu kamili usiku hadi…

IMG-20160813-WA0024
All Posts, Featured, NEWS,

Mboni Masimba akiwa Ufaransa na Balozi wa DR.Congo

Mkurugenzi wa kipindi cha The Mboni Show maarufu kama Mboni Masimba ambaye ndiye mtangazaji wa kipindi hicho, siku chache zilizopita alipata mualiko wa kwenda kumtembelea Balozi wa DR.Congo huko nchini…

IMG-20160421-WA0009
Featured, NEWS, Shows,

JE TUTA ZUNGUMZA VIPI WAKATI ANETH HASIKII, DON’T MISS THE MBONI SHOW!

Kuna msemo ambao unasema hujafa hujaumbika, msemo huu huwa unamaana kubwa yaani hutakiwi kumcheka mlemavu wakati bado upo hai, coz hujui mbele yako Mungu akusaidie sana Aneth. Don’t Miss The…

Stara Thomas
All Posts, Featured, NEWS, Photography, Shows,

TAARIFA MPYA KUHUSU STARA THOMAS KWENYE THE MBONI SHOW

“Habari za mchana wapendwa, Baada ya kutazama Marudio ya The Mboni Show with “Salma Jabu Nisha” TBC1 inayo furaha kubwa ya kuwataarifu kuwa Wiki hii The Mboni Talk Show itakuwa…

NISHA 6
All Posts, NEWS, Shows,

USIKOSE KUITAZAMA THE MBONI TALK SHOW WITH “NISHA” LEO TBC1

Ndugu wadau wa The mboni Talk Show wapenzi wa vichekesho mnao mkubali Mwigizaji ambaye anakubalika Bongo kwenye Tasnia hiyo ya “Bongo Muvi”  Salma Jabu Nisha anaye fanya vizuri na kazi yake ya Kiboko…