Category: MBONI NA FANS

IMG-20160516-WA0000
All Posts, Featured, Gallery, Mboni in Events, MBONI NA FANS, Photography,

HAPPY BIRTHDAY MBONI MASIMBA (THE MBONI SHOW)

Kwa heshima na taadhima leo 16/5/2016 The Mboni Show team tunamtakia Maisha marefu mkurugenzi wa The Mboni Show maarufu kama “Mboni Masimba” kwa kuiona siku yake ya kuzaliwa Mungu aendelee…

king 6
All Posts, Featured, MBONI NA FANS, NEWS,

King Majuto kuvunja mbavu za wapenzi wa “The Mboni Show” Ijumaa

Mwigizaji nguli wa vichekesho hapa nchini maarufu kama King Majuto aliyetamba na Brothers,Usijaribu, Pedeshee, Gereji nk. Ijumaa ya wiki hii atakuwa ndani ya “The Mboni Talk Show” kwa ajili ya kuwavunja mbavu mashabiki wa…

flavian matata
DREAM COME TRUE, MBONI NA FANS, NEWS,

USIKOSE KUANGALIA THE MBONI TALK SHOW WITH FLAVIANA MATATA

Hii ni taarifa njema inayowahusu wadau na mashabiki wote wanaopenda kuangalia ‘The Mboni Talk Show’ kuwa Ijumaa ya wiki hii kuanzia mida ya Saa tatu kamili, usiku ndani ya TBC1,…

Mboni M
DREAM COME TRUE, Featured, MBONI NA FANS,

#WIKIILIYOPITAONTHEMBONISHOW – Chukua Dakika Zako 15 Kuvunja Mbavu Na Mc Pili Pili

‎ WIKIILIYOPITAONTHEMBONISHOW‬ – The Mboni Show, Wiki iliyopita mgeni wetu alikuwa Mc Pili Pili, ilikuwa ni kucheka tu, Utajua Jina la Mc Pili Pili alilitoa wapi, yeye ni kabila gani…

photo-8-
Gallery, MBONI NA FANS,

Hapo Mjini DSM

Nikiwa na fan wangu pale ofisi za magereza jijini Dar es Salaam

photo-6-
All Posts, Gallery, MBONI NA FANS,

With my Fans from left n Rehema na Right n Neema from Kinondoni