Category: Mboni in Events

photo-283-29
All Posts, Gallery, Kero, Mboni in Events,

Unazijua kero za vyombo vya usafiri kama Boda Boda, Taxi na Bajaj?

Fahamu kuhusu kero mbali mbali za vyombo vya usafiri leo usiku kwenye show yako uipendayo ya ‘The Mboni Show’. Usiache kutoa maoni yako kupitia page yetu ya facebook ya The…

DSC_0179
All Posts, Gallery, Mboni in Events,

THIS IS MY DAY FRIENDS AND FANS WANGU.

Kwanza kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu kwa siku yangu ya leo May 16 , siku niliyozaliwa miaka hiyooo. Yeah namshuku sana Mwenyezi Mungu kwa kuniajaalia uzima na afya, maendeleo katika shughuli…

DSC_0404
All Posts, DREAM COME TRUE, Gallery, Mboni in Events, NEWS,

THE MBONI SHOW WIKI HII NI PALE MKOA NI DODOMA

 Wiki hii utaiona Familia nzima ya The Mboni Show wakiwa mkoani Dodoma , Walipotembelea Shule ya msingi Chalula iliyoko wilaya ya Chamwino ; Shule ambayo bado wanafunzi wanakaa chini. The…

DSC_0244
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY, Mboni in Events,

Wiki Hii – The Mboni Show – Je Umasikini ni UZEMBE?

Tunazungumizia Umasikini? Je umasikin ni ujinga au uzembe?! Nilikuwa na Mh Mkuu wa wilaya ya Busega Paul Mzindakaya. Kulikuwa na wadau wengine wengi waliochangia mada hii. Usikose kuangali Alhamisi saa…

LIFE and SOCIETY, Mboni in Events, Video Clips,

EXCLUSIVE Interview ya President PREzzo – WIKI HII KATIKA THE MBONI SHOW

Pata uhondo kIduuuuchu wa EXCLUSIVE Interview ya President PREzzo yan n Full kufunguka! Kwa uhondo zaidi usikose kipnd kesho saa Tatu na nusu usiku EaTV Pekee. 

85
All Posts, LIFE and SOCIETY, Mboni in Events,

Wiki Hii katika The Mboni Show – KUSHOBOKEA WAGENI

 Katika The mboni Show wiki hii tunazungumzia swala la kushobokea wageni especially wa kigeni mkoani Arusha. Usikose kuangalia @ EATV saa Tatu unusu Usiku ili kujionea wadau wanasema nini juu…

18
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY, Mboni in Events,

WIKI HII KATIKA THE MBONI SHOW – PESA NA ELIMU – Ilifanya mkoani Arusha

 Mboni akiwa mkoani ARUSHA alipata nafasi ya kujadili na wakazi wa mkoa huo umuhimu wa Pesa na Elimu. Usikose kuangalia pale EATV kuanzaia saa 3:30 usiku hadi saa 4:30 usiku…

IMG-20120325-00102
All Posts, Mboni in Events,

Nawatakia SIMBA SC Ushindi mkareeee……………

 Mimi na causin yangu tukiwa uwanja wa Taifa kushudia mechi ya Simba na Yanga

DSC_0263
Gallery, Mboni in Events,

Mboni wa “The Mboni Show” Akiwa na wadau Mbalimbali wakiangalia The Mboni Show

Mboni akiwa na DJ Choka Hapa Mboni akiwa na Tyson na Wasiwasi Ben, Mboni na Sinta Ilikua pale Regency Hotel. Mboni akiwa na wadau mbali mbali wakiangalia kwa mara ya…

mboni-masimba
Fashions, Mboni in Events,

Mboni Attended The Airtel Launch of MIB 3 in 3D

Mboni Masimba Mboni and a Friend Mboni Shoes