Category: Mboni in Events

img-20170104-wa0071
All Posts, Mboni in Events, NEWS,

Mboni Masimba kwenye Mapumziko ya mwaka mpya Ngorongoro

Ilikuwa siku yenye furaha kwa Mkurugenzi wa The Mboni Show Mboni Masimba mara baada ya kupata mualiko maalum wa kwenda kutembelea “Ngorongoro Crater”  yalikuwa ni mapumziko mazuri kabisa ya kuuaga…

2
All Posts, Featured, Mboni in Events, NEWS,

MBONI KUZUNGUMZIA KONGAMANO LA SAUTI YA MWANAMKE. 102.5 LAKE FM MWANZA

Mtangazaji wa Kipindi cha “The Mboni Show” kinachoruka kupitia runinga ya TBC1, Mboni Masimba (kushoto) akizungumza na Caroline Mwaipungu ambaye ni Mtangazaji wa 102.5 Lake Fm Mwanza kuhusu Kongamano la…

14642184_10210792886204871_6454047403266805373_n
All Posts, Featured, Mboni in Events,

GOOD NEWS: THE MBONI SHOW TUNAKULETEA SAUTI YA MWANAMKE!

MWANZA! MWANZA! KAAENI MKAO WA KULA. CHOCOLATE PRINCESS LTD – WAANDAAJI WA THE MBONI SHOW WANAKULETEA SAUTI YA MWANAMKE EVENT AMBAYO ITAANZA MKOANI MWANZA 06/11/2016 NDANI YA UKUMBI WA GOLD…

IMG_0280
All Posts, Featured, Mboni in Events,

The mboni show yawafuturisha watoto Yatima Dar,Makamu wa Rais Mama Samia awapongeza

Kipindi cha The Mboni Show, chini ya Mtangazaji wake, Mboni Masimba ambacho kinachorushwa kupitia televisheni ya Taifa ya TBC1, Jioni ya jana ya Juni 29.2016 wameweza kufuturisha wageni Watoto Yatima…

IMG-20160602-WA0045
All Posts, Featured, Mboni in Events,

KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 4 YA THE MBONI SHOW HANDENI

Ni muda sasa tangu kipindi cha The Mboni Talk Show kianze kuruka hewani na kuleta mafanikio chanya kwenye jamii, kwa kuelimisha, kuburudisha na kusaidia jamii. Hivyo nikiwa kama Mkurugenzi wa…

IMG-20160516-WA0000
All Posts, Featured, Gallery, Mboni in Events, MBONI NA FANS, Photography,

HAPPY BIRTHDAY MBONI MASIMBA (THE MBONI SHOW)

Kwa heshima na taadhima leo 16/5/2016 The Mboni Show team tunamtakia Maisha marefu mkurugenzi wa The Mboni Show maarufu kama “Mboni Masimba” kwa kuiona siku yake ya kuzaliwa Mungu aendelee…

_MG_3185
All Posts, Featured, Mboni in Events,

WILAYA YETU – HANDENI YETU – TANZANIA YETU

Chocolate Princess Ltd & THE MBONI SHOW inayo furaha ya kukualika wewe mzawa wa Handeni, mkazi wa Handeni na yeyote mwenye mapenzi na Wilaya yetu ya Handeni katika Harambee ya…

Mboni na KiPPI
Featured, Mboni in Events,

KIPPI WARIOBA NDANI YA ‘THE MBONI TALK SHOW’ IJUMAA HII

  Ijumaa ya wiki hii tutakuwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe Kippi Warioba ndani ya The Mboni Talk Show, TBC1 kuanzia mida ya saa tatu kamili usiku mpaka saa 4, kwa…

BONY 3
Featured, Mboni in Events,

THE MBONI TALK SHOW LEO ITAKUWA NA WILFRIED BONY & GERVINHO

Kwamara nyingine tena taarifa mpya kutoka kwa mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Talk Show maarufu kwa jina la Mbonie Masimba inasisitiza juu ya wadau na wapenzi wa kipindi hicho…

image
DREAM COME TRUE, Featured, Kero, Mboni in Events,

LEO KATIKA THE MBONI SHOW TULIKUWA NA RASHID SALEHE (KATIBU WA UMOJA WA MADEREVA TANZANIA) NA SHABAN MDEMU (MAKAMU MWENYEKITI WA UMOJA WA MADEREVA TANZANIA)

http://www.thembonishow.com/wp-content/uploads/2015/06/The-mboni-show.mp4