Category: LIFE and SOCIETY

photo-8-
All Posts, LIFE and SOCIETY,

Wiki Hii The Mboni Show – Kutana na Kajala

 Wiki hii Katika the Mboni Show kutana na Kajala – Akielezea juu ya maisha yake alipokuwa jela na sasa yupo tena urahiani. Usikuose kuangalia saa tatu usiku pale EATV  Kajala…

photo-4-
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY,

LEO HII KATIKA THE MBONI SHOW – NA PATRICK NGOWI – Mjasiriamali

Kutana na Patrick Ngowi leo katika The Mboni Show….. Patrick ni mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa sana Afrika … Hadi kutambulika na African Forbes. Hivo usikose leo saa tatu kamili usiku…

DSC_0244
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY, Mboni in Events,

Wiki Hii – The Mboni Show – Je Umasikini ni UZEMBE?

Tunazungumizia Umasikini? Je umasikin ni ujinga au uzembe?! Nilikuwa na Mh Mkuu wa wilaya ya Busega Paul Mzindakaya. Kulikuwa na wadau wengine wengi waliochangia mada hii. Usikose kuangali Alhamisi saa…

LIFE and SOCIETY, Mboni in Events, Video Clips,

EXCLUSIVE Interview ya President PREzzo – WIKI HII KATIKA THE MBONI SHOW

Pata uhondo kIduuuuchu wa EXCLUSIVE Interview ya President PREzzo yan n Full kufunguka! Kwa uhondo zaidi usikose kipnd kesho saa Tatu na nusu usiku EaTV Pekee. 

prezoo
All Posts, LIFE and SOCIETY, NEWS,

Exclusive Interview na CMB PREZZO da PRESIDENT

THE MBONI SHOW inakuja na Exclusive Interview na CMB PREZZO da PRESIDENT itakuwa Recorded IJUMAA kama unataka kumuuliza maswali mawili matatu njoo ukutane nae live, ushawahi kumshika mkono President CMB…

85
All Posts, LIFE and SOCIETY, Mboni in Events,

Wiki Hii katika The Mboni Show – KUSHOBOKEA WAGENI

 Katika The mboni Show wiki hii tunazungumzia swala la kushobokea wageni especially wa kigeni mkoani Arusha. Usikose kuangalia @ EATV saa Tatu unusu Usiku ili kujionea wadau wanasema nini juu…

18
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY, Mboni in Events,

WIKI HII KATIKA THE MBONI SHOW – PESA NA ELIMU – Ilifanya mkoani Arusha

 Mboni akiwa mkoani ARUSHA alipata nafasi ya kujadili na wakazi wa mkoa huo umuhimu wa Pesa na Elimu. Usikose kuangalia pale EATV kuanzaia saa 3:30 usiku hadi saa 4:30 usiku…

IMG-20130311-01151.jpg-743673
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY,

Na rafik yangu wa looooong time Aboubakary Sadiq kwa Fujoooooo DJjjjjjz

DSC_6671
All Posts, Gallery, LIFE and SOCIETY,

WIKI HII THE MBONI SHOW – PAROLE

 Pata nafasi ya kujua nini hasa kinatokea pale Mtuhumiwa anapokuwa katika kifungo cha nje. Ni mambo gani ya kuzingatia na kuangalia … Basi usikose kuangalia The Mboni show pale EATV…

photo-3-
Gallery, LIFE and SOCIETY,

THE MBONI SHOW KUELEKEA MKOANI ARUSHA

Team ya The Mboni Show tukiwa tunaelekea mkoani Arusha. Siku ya Jumatatu tutakuwa pale Raura Spring Hotel tutarecord kipindi pale wote mnakaribishwa. Tutaanza kurecode saa nne asubuhi. Mada ikiwa ni…