USIKOSE KUTAZAMA THE MBONI SHOW IJUMAA 21/JULY/ 2017
Ijumaa hii katika @thembonishow tutakuwa na Promoter @dmkglobal @dmkglobal, Dmk ni Kijana wa Kitanzania lakini makazi yake ni Nchini Marekani, Ndio Promoter wa kwanza kabisa kumpeleka Mr Nice Marekani?? Utapata…