Category: Featured

<p>Featured posts</p>

pix
All Posts, Featured,

The Mboni Show with DMK promoter wa kwanza kupeleka Mr. Nice Marekani!.

DMKGLOBAL Ni promoter Mtanzania aishie nchini Marekani na hata kazi zake huzifanyia huko huko Marekani . Pata kumsikiliza na kumtazama zaidi hapa kwenye The Mboni Show. Kumbuka Show huruka kila…

ee
All Posts, Featured, LIFE and SOCIETY, NEWS,

USIKOSE KUTAZAMA THE MBONI SHOW IJUMAA 21/JULY/ 2017

Ijumaa hii katika @thembonishow tutakuwa na Promoter @dmkglobal @dmkglobal, Dmk ni Kijana wa Kitanzania lakini makazi yake ni Nchini Marekani, Ndio Promoter wa kwanza kabisa kumpeleka Mr Nice Marekani🙌🙌 Utapata…

Screen Shot 2017-06-09 at 5.45.36 PM
All Posts, Featured,

USIKOSE KUANGALIA SHOW YAKO PENDWA

  USIKOSE KUANGALIA SHOW YAKO PENDWA @thembonishow LEO SAA MOJA KAMILI TBC1, PATA KUONA MAMBO YALIVYOFANA KWENYE TANZANIA DAY FESTIVAL NA TANZANITE GALA #tzdaydallas2017 , You never know unaweza bahatika…

WhatsApp Image 2017-05-31 at 9.01.58 AM
All Posts, Featured,

The Mboni Show msimu mpya 217 sehemu ya kwanza na Ben Kazora

Pata kuona show ya kwanza ya Msimu Mpya 2017 Kutoka Nchini Marekani. Upate kumsikia President wa Watanzania Waishio Dallas Texas Marekan Bwana Ben Kazora akizungumza kuhusu ile event ilitupeleka sisi…

WhatsApp Image 2017-05-31 at 9.01.58 AM
All Posts, Featured,

Usikose The Mboni Show with Ben Kazora Ijumaa

Msimu huu mpya tunaanza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Dallas – Texas Bwana Ben Kazora, The Mbonishow Show inakuletea  Show za ughaibuni, show za nchini Marekani, Thembonishow ilipata mualiko…

WhatsApp Image 2017-05-27 at 8.44.20 AM
All Posts, Featured,

THE MBONI SHOW TUNAWATAKIA RAMADHAN KAREEM🙏🙏

Asalamu Aleikum warahmatullah wabarakatuh🙏🙏 Nawatakia kila la kheri barka tawfeeq afya na siha njema katika mwezi mtukufu wa Ramadhan Mashabiki zangu wote wa @thembonishow na familia zenu.. Namuomba Allah atupe…

1
All Posts, Featured, Video Clips,

The return of The Mboni Show New season 2017

Baada ya pumziko la muda mrefu sasa The Mboni Show huu ni msimu wake mpya 2017 “Hello Hello wapendwa more miss jamani yaani nimewamiss mbaya Msimu mpya utaanza tarehe 1/Jume/…

IMG-20160516-WA0005
All Posts, Featured, Video Clips,

Tambua Sifa za Mapedeshee kwenye Marudio ya ‘The Mboni Show’ hapa

Unaweza ukafurahi na kujifunza vitu vingi kupitia marudio ya kipindi cha The Mboni Show ambapo mada kuu inawahusu “Mapedeshee”. Katika show hii tumejitahidi kuwapata baadhi ya Mapedeshee pamoja na Audience…

mapedesheee
All Posts, Featured,

Video: Marudio ya The Mboni Show kuhusu Mapedeshee!

The Mboni Show inakuletea Marudio ya kipindi cha Mapedeshee, kama ilivyo kawaida unapo sikia neno Mapedeshee! Always ni watu wenye pesa zao. Kuna mambo kadhaa wa kadhaa na changamoto nyingi…

mboni-aa
All Posts, Featured, Video Clips,

Angalia The Mboni Show uweze kujifunza mengi kuhusu ‘kujichubua’

Karibu kwenye The Mboni Show uweze kutazama marudio ya vipindi mbalimbali vilivyo pita, leo tumekuwekea kipande cha pili cha show ambayo inazungumzia “Kujichubua!” unaweza kujifunza vituvingi kupitia Show hii kwani…