Category: DREAM COME TRUE

DSC_0694
All Posts, DREAM COME TRUE, Gallery,

WIKI HII KATIKA DREAM COME TRUE

 Wiki Hii familia ya THE MBONI SHOW katika dream come true – walifika katika hospital ya mkoa wa Mwanza na waligawa mashuka na magodoro

photo-1-
DREAM COME TRUE, Gallery, NEWS,

KATIKA DREAM COME TRUE – SHABANI SWEDI APATA MATIBABU

Mzee Shabani Swedi akitokea mkoani TABORA -Mabama  ni mmoja wa watazamaji wa show ya “The Mboni Show” Kama ujuavyo tuna ile segment ya Dream Come True; ambapo kupitia hiyo tunasaidia…

DSC00233
DREAM COME TRUE,

KATIKA ILE DREAM COME TRUE – FAIDHA ATIMIZA NDOTO YAKE

 Timu ya Taifa ya Netball wakiwa kambini pale Morogoro, Katikati mwenye top ya blue na skati ya khaki ni Faidha ambaye alitaka kutimiza ndoto ya kuingia katika netball Timu ya…

Morogoro-20121006-00367
All Posts, DREAM COME TRUE,

With CHRIS MAUKI ndani ya Morogoro Hotel, yeye alikuwa MC

DSC_0014
All Posts, DREAM COME TRUE,

KATIKA THE DREAM COME TRUE – Kutana na Dogo Mofa……….

 Dogo Mofa mwenye kipaji cha kuimba. Alipata kupiga hatua ya kutimiza ndoto yake baada ya kukutana na Producer Lamar — kujua mengi zaidi usiache kuangalia The Mboni Show  wiki hii…

Dar-es-Salaam-20120724-01146
DREAM COME TRUE,

UNAMKUMBUKA FELISTER KATIKA DREAM COME TRUE?

Felister ndio yule mrembo ambaye alipenda kutimiza ndoto yake ya kuigiza katika filamu na Marehemu Kanumba. Na The Mboni Show ilimkutanisha na Marehemu Kanumba …. ila kama ujuavyo Kanumba hatunaye…

Dar-es-Salaam-20120716-00989
DREAM COME TRUE,

KATIKA DREAM COME TRUE – ALLY APATA MSAADA WA MATIBABU

 Mimi na Ally nje ya Duka la Brillante baada ya kupata msaada wa hela za matatibu Mimi, Ally na wafanyakazi wa Brillante Shop wao ndo wamejitolea kumpa Ally hela za…

ally
DREAM COME TRUE,

KUTANA NA ALLY KATIKA DREAM COME TRUE

Kutana na Ally anayetokea Jet Lumo ambaye anasumbuliwa na tatizo la mguu kama ujuavyo The Mboni Show ipo kwa ajili ya kusaidia watu, basi usiache kuangalia East Africa Television wiki…

Dar-es-Salaam-20120629-00815
DREAM COME TRUE,

DREAM COME TRUE -Barmaid mwenye Kipaji cha Kuandika Movie Scripts

Katika Dream Come True  wiki hii – Kutana na mwanadada ambaye ni Bar Maid ila mwenye utaalamu wa kuandika script za movie. Kupitia “The Mboni Show” mwanadada huyu anatimiza ndoto…

DSC_0698
DREAM COME TRUE,

KUTANA NA MZEE PANGO KATIKA – DREAM COME TRUE

Mtaalam wa CCBRT akimtibia Mzee Pango Mbonie Masimba ambaye ndiye HOST wa The Mboni Show ,akiwa chumba cha matibabu CCBRT Mzee Pango baada ya kupata tiba pale CCBRT akiwa na…