Mboni Masimba
All Posts, Featured, LIFE and SOCIETY, Shows,

ATHMAN HASSAN ATIMIZA MIAKA 9 KITANDANI ANGALIA THE MBONI SHOW LEO

Leo tarehe moja mwezi July 2016 ‘The Mboni Show’ tutakuwa na Athman Hassan Msengi aliye zaliwa miaka 44 iliyopita. Mnamo Agust-12-2008 Athman alipata ajali mbaya mpaka hii leo ni miaka 9 sasa bado yupo kitandani. Hivyo ukitaka kujua zaidi Maisha ya Athman Hassan usikose kuangalia kipindi cha The Mboni Show leo saa tatu kamili usiku TBC1. Kumbuka marudio ni kila Jumatano saa tisa kamili mchana hadi kumi kamili za Jioni Asanteni.

IMG-20160701-WA0014 IMG-20160701-WA0015 IMG-20160701-WA0016 IMG-20160701-WA0017

Leave Comment