mboni-aa
All Posts, Featured, Video Clips,

Angalia The Mboni Show uweze kujifunza mengi kuhusu ‘kujichubua’

Karibu kwenye The Mboni Show uweze kutazama marudio ya vipindi mbalimbali vilivyo pita, leo tumekuwekea kipande cha pili cha show ambayo inazungumzia “Kujichubua!” unaweza kujifunza vituvingi kupitia Show hii kwani dhumuni letu ni kuelimisha Jamii kutokana na mambo ya kimaisha yanayo mzunguka mwanadamu.

Tumia muda wako kidogo uweze kuangalia Show hii, pale itakapo kugusa usisite kutoa maoni yako huenda comment yako ikawa na mchango mkubwa katika Jamii yetu. Tunakujali na kukuthamini hivyo tunakutakia utazamaji mwema wa video hii.

Leave Comment