The mboni show

The mboni show

The mboni show is a Tanzanian modern TV talk show with aim of educating, inspiring and…

BONY 3
Featured, Mboni in Events,

THE MBONI TALK SHOW LEO ITAKUWA NA WILFRIED BONY & GERVINHO

Kwamara nyingine tena taarifa mpya kutoka kwa mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Talk Show maarufu kwa jina la Mbonie Masimba inasisitiza juu ya wadau na wapenzi wa kipindi hicho…

BONY 2
Featured, NEWS,

NYOTA 2 KUTOKA NJE NDANI YA THE MBONI TALK SHOW (IJUMAA HII)

Ndugu mtazamaji wa kipindi maridadi cha ‘The Mboni Talk Show’ hii ni habari njema kutoka kwa super presenter wa kipindi hicho maarufu kwa jina la Mboni Masimba, “Ijumaa ya wiki…

MASOUD 1
Featured,

VIDEO: DAKIKA 12, THE MBONI TALK SHOW NA MASOUD KIPANYA

Inawezekana ukawa haukufanikiwa kuangalia The Mboni Talk Show ya Masoud Kipanya ambayo iliruka  Ijumaa October 2, 2015 ndani ya TBC1, kuanzia mida ya saa tatu kamili usiku hadi saa nne…

MBONI W
Fashions, Featured,

MBONI AWAKUMBUSHA MASHABIKI KUHUSU MARUDIO YA AMINA DESIGNER

Mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Talk Show maarufu kwa Jina la Mboni Masimba amewataka mashabiki, wadau na wapenzi wa kipindi hicho ambacho huruka kila Siku ya Ijumaa TBC1, kuangalia…

Masoud 2
DREAM COME TRUE, Featured,

USIKUBALI KUPITWA NA SHOW YA MASOUD KIPANYA IJUMAA HII

Kutana na mchora Cartoon mahiri  kwa jina la Masoud Kipanya, hapa Tz, ndani ya ‘The Mboni Talk Show’ Ijumaa ya wiki hii ndani ya TBC1 kwaanzia mida ya Saa 3: 00…

Mboni & Amina
Featured,

UNAKOSAJE KUMTAZAMA AMINA DESIGNER NDANI YA THE MBONI TALK SHOW LEO?

Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya kumtazama Amina Designer ndani ya The Mboni Talk Show kipindi ambacho huruka kila siku ya Ijumaa Saa 3: 00 hadi Saa 4:00 usiku…

Amina designer
Fashions, Featured,

KUTANA NA AMINA DESIGNER KWENYE THE MBONI TALK SHOW IJUMAA HII

Usikose kutazama kipindi cha ‘The Mboni Talk Show’ Ijumaa ya wiki hii ndani ya TBC1 kwaanzia mida ya Saa 3: 00 usiku hadi Saa 4:00 usiku, kama ilivyo kawaida utakuwa…

333 c
DREAM COME TRUE, Featured,

VIDEO: TEASER YA ‘THE MBONI TALK SHOW’ WITH DAVID MZIRAY & OMARY SUMA

Kwa wote mnaopenda kuangalia kipindi cha ‘The Mboni Talk Show’ kinacho ruka kila siku ya Ijumaa Saa tatu kamili usiku TBC1, hapa tumekuwekea teaser ya Show ambayo ndani yake utakutana…

MBONI
Featured, NEWS,

JIUNGE KUSHIRIKI KWENYE ‘THE MBONI TALK SHOW’

The Mboni Show ni kipindi ambacho huruka kila siku ya Ijumaa Saa 3: 00 hadi Saa 4:00 usiku TBC1 na marudio yake hufanyika kila siku ya Jumatano kama ilivyo kawaida…

333 b
Featured, NEWS, Photography,

USIKOSE KUANGALIA KIPINDI CHA THE MBONI SHOW LEO SEPTEMBER 4, 2015

Usikose kutazama kipindi cha ‘The mboni Show’ leo September 4, 2015 ndani ya TBC1 kwaanzia mida ya Saa 3: 00 usiku hadi Saa 4:00 usiku, kama ilivyo kawaida utakuwa sambamba…